Mazishi ya watotowaliokufa maji kuzikwa Njoro

  • | Citizen TV
    1,074 views

    Wavulana watatu waliokufa maji katika eneo bunge la Njoro Jumamosi wiki iliyopita hatimaye wamezikwa. Ibada ya wafu ilifanyika katika shule ya Karogoe walikokuwa wakisomea watatu hao kabla ya mazishi nyumbani kwao.