Mbadi achukua hatamu, Duale apokezwa majukumu

  • | KBC Video
    98 views

    Waziri mpya wa fedha na mipango ya kiuchumi John Mbadi ameahidi kutekeleza hatua mbalimbali za kupunguza gharama na kulainisha mfumo wa ulipaji mishahara. Kwa mujibu wa waziri Mbadi mpango huo utahusisha uwianishaji sajili ya malipo ya mishahara serikalini na mfumo wa kielektroniki wa usimamizi wa fedha ‘IFMIS’ ili kuwaondoa wafanyakazi bandia. Hayo yalijiri huku waziri mpya wa mazingira Aden Duale akiahidi kukarabati bustani za umma kwa lengo la kuhfadhi mito na kuhakikisha mazingira ya kijani. Mbadi na Duale walisema hayo walipochukua rasmi katika wizara zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive