Mbadi: Bajeti ya 2025/26 haitaongeza ushuru

  • | NTV Video
    255 views

    Waziri wa fedha John Mbadi amesema mswada wa fedha wa 2025|26 hautaongeza ushuru kwa wakenya. mbadi hata hivyo anasema kuna pengo kubwa ambalo limewachwa kwenye bajeti hiyo ambalo litajazwa na mkopo wa zaidi ya bilioni mia moja kwenye bajeti ya kenya ya trilioni moja nukta moja

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya