Mbio za Nyika kericho zaanza huku wanariadha 800 wakishiriki

  • | TV 47
    10 views

    Zaidi ya wanariadha 800 walikusanyika leo katika chuo cha walimu cha kericho kwa tukio lililosubiriwa ya mbio za nyika ya kericho Tukio hili lilijumuisha mbio mbalimbali, zikiwemo za kilomita 10 kwa wanaume na wanawake, mbio za mseto, na mbio za wazee kwa washiriki wenye umri wa miaka 50 na zaidi.katika mbio za kilomita 10, washindi walitunukiwa zawadi za pesa taslimu nmshindi wa kwanza alipokea ksh 150,000, mshindi wa pili alipata ksh 100,000, na mshindi wa tatu aliondoka na ksh 75,000. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __