Mbunge mteuliwa Kosgei asema wakenya wanaimani na sheria za Kenya kwenye kesi ya Gachagua

  • | NTV Video
    810 views

    Mbunge aliyeteuliwa Jackson Kosgei sasa anasema kuwa mchakato wa mahakama kuhusu naibu wa rais aliyebanduliwa Rigathi Gachagua uemfuata na watu wanatakiwa kuamini katiba kwani hiyo ndio njia pekee ya imani na sheria za Kenya. Anaongeza kuwa hizo ni changamoto tu ambazo nchi inazipitia na zitaisha hivi karibuni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya