Methali I Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi

  • | KBC Video
    65 views

    METHALI YA SIKU: Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi

    Maana yake: Kila mtu maishani ana kipindi cha kujaaliwa jambo zuri. Haifai kuwaonea wivu wenzetu pindi wanapobahatika. Yafaa tuvute subira kwani riziki i mikononi mwa Mungu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive