10 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 1,157 views Duration: 1:41 Mgogoro kuhusu usimamizi wa kituo cha mafunzo cha kidini cha Quba katika mji wa Garissa uliosababisha kituo hicho kufungwa na kamati ya usalama ya kaunti hiyo mwezi jana sasa umetatuliwa.