Skip to main content
Skip to main content

Miaka 3 ya Ruto: Ahadi za uchumi zahesabiwa, mfumuko wa bei wasalia juu

  • | Citizen TV
    1,029 views
    Duration: 3:04
    Katika kipindi cha miaka mitatu ya utawala wa Kenya Kwanza, uchumi wa nchi umeonyesha matokeo mchanganyiko. Hali hii pia imeonekana katika gharama ya maisha, ambapo baadhi ya bidhaa za nyumbani zimepungua bei huku nyingine zikisalia juu.