- 946 viewsDuration: 2:51Mojawapo ya Ahadi kuu ya Rais William Ruto alipoingia mamlakani ilikuwa bima ya afya kwa kila Mkenya. Miaka mitatu baadaye, Mamlaka ya Afya ya Jamii SHA ndiyo inayoendesha ndoto hii, hata hivyo mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake, baadhi ya Wakenya wanasema imeleta afueni lakini kwa wengine ada za lazima bado ni mzigo.