Skip to main content
Skip to main content

Miaka Mitatu ya Ruto: Panda shuka za SHA

  • | Citizen TV
    470 views
    Duration: 2:43
    Gharama ya matibabu imekuwa mzigo mzito kwa wanaougua maradhi sugu nchini. Mwaka mmoja tangu bima ya sha kuanza kutumiwa, baadhi ya wagonjwa wanakiri kupunguziwa mzigo. Hata hivyo wanalalamikia hitilafu za mara kwa mara ambazo bado ni kikwazo kikubwa. Uhaba wa dawa na gharama ya kusafiri kutafuta matibabu zimesalia changamoto kwa wanaoishi mashinani.