Michezo ya sekondari msingi yafanyika Wote, Makueni

  • | Citizen TV
    172 views

    Michezo ya shule za msingi eneo la mashariki mwa Kenya imeanza kaunti ya Makueni huku waalimu wakitakiwa kuhakikisha nidhamu ya hali ya juu na kuwakinga wanafunzi kutokana na utumizi wa mihadarati. Aidha swala la kutokuwa na muongozo wa michezo ya shule za sekondari msingi lilijitokeza kwenye hafla ya ufunguzi wa michezo hiyo kama anavyoarifu Michael Mutinda.