Mifumo na huduma za KBC kuwekwa kidijitali

  • | KBC Video
    81 views

    Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo ametoa hakikisho la kuboresha muundo mbinu katika shirika la Utangazaji nchini, KBC ili kuliwezesha kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Akiongea leo wakati alipo-ongoza ujumbe kutoka ubalozi wa Romania nchini kwenye ziara katika shirika la utangazaji nchini - KBC jijini Nairobi , waziri Kabogo aligusia nia ya serikali ya kubuni ubia na wadau mbalimbali kwa lengo la kuweka huduma za shirika hili kwenye mifumo ya kidijitali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive