Mizozo ya ndani kwa ndani ilizuka mwanzoni mwa sherehe za maadhimisho ya miaka 20 ya chama cha ODM mjini Mombasa. Kundi la viongozi wa chama hicho liliwashutumu baadhi ya wanachama kwa kujaribu kukinadi chama hicho. Chama hicho pia kinatumia fursa ya sherehe hizo kumuenzi mwanzilishi wake, Raila Odinga, aliyefariki mwezi uliopita.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive