Miili saba zaidi ya waliouwawa msituni Shakahola imepokezwa familia zao

  • | Citizen TV
    164 views

    Miili saba zaidi ya waliouwawa msituni Shakahola imepokezwa jamaa zao. Familia tatu zimepokezwa miili hii leo na kufikisha idadi ya miili iliyotolewa kwenye makafani ya Malindi kufikia 25. Kwa sasa ni maiti tisa pekee iliyosalia. Serikali imegharamia usafirishaji wa maiti na shughuli za mazishi. Serikali imesema kuwa matokeo ya uchunguzi wa msimbojeni uliofanyiwa zaidi ya miili 200 yatatolewa hivi karibuni.