Mikakati ya kukabiliana na dharura yawekwa

  • | KBC Video
    137 views

    Serikali na washirika wake wa maendeleo imeweka mikakati ya kutekeleza mifumo ya tahadhari za mapema kuhusu majanga. Waziri wa masuala ya jumuiya ya Afrika mashariki, maeneo kame na maendeleo ya kikanda Beatrice Askul Moe alisema mashirika ya serikali na yale yasiyo ya serikali yako makini kushughulikia dharura zinazojiri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive