Mikataba ya Adani I Tony Gachoka asema hataondoa kesi mahakamani

  • | KBC Video
    276 views

    Mwanaharakati Tony Gachoka aliyewasilisha ombi katika mahakama kuu ya Milimani akitaka kusitisha ukodishaji tata wa miaka 30 wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kampuni ya Adani sasa anasema hataondoa ombi hilo hadi serikali itakapotoa hakikisho rasmi na la kisheria kwamba uwanja huo wa ndege utasalia kuwa mali ya kitaifa. Rais William Ruto alifutilia mbali mikataba ya Adani ya miundombinu na Kenya baada ya shutma ya ulaji hongo inayohusiana na kampuni hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive