Mkenya aliyetekwa nyara arejea nyumbani

  • | KBC Video
    311 views

    Dereva wa lori moja la masafa marefu anayedaiwa kutekwa nyara na kundi la wanajeshi katika jamuhuri ya Demokrasia ya Congo amesimulia masaibu yake baada ya kuungana na familia yake katika kijiji cha Itunduimuni kaunti ya Machakos. Florence Wanza Munyao, anayejulikana kama Queen alitiririkwa na machozi alipokumbatiwa na jamaa wake na majirani. Mama huyo wa umri wa miaka-45 mwenye watoto wawili alitoweka tarehe-27 mwezi Agosti mwaka jana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive