Mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika 'Mission 300' Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,356 views
    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuongoza wakuu wa nchi wengine wa Afrika katika majadiliano ya pamoja kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika ‘Mission 300’. - Mijadala hiyo itaendelea leo kwenye siku ya pili ya mkutano huo wa nishati unaofanyika jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. - Tazama takwimu za upatikanaji wa umeme katika nchi za Afrika. - Je taifa lako limepiga hatua ikilinganishwa na mataifa mengine kusini mwa jangwa la Sahara? - - - #tanzania #bbcswahili #kenya #uongozi #samiasuluhu #mission300 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw