Mkutano wa tatu wa Limuru unaendelea kugawanya viongozi wa mlima kenya.

  • | K24 Video
    50 views

    Mkutano wa tatu wa Limuru unaendelea kugawanya viongozi wa mlima kenya. gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amesema kuwa wanasiasa wa chama cha UDA kutoka mlimani hawajihusishi na mkutano huo akishikilia kuwa jukumu lao kuu ni kuwatumikia wakenya. Mkutano huo ambao umeibua hisia tofauti, unatarajiwa kufanyika hapo kesho ili kujadili maswala ya kisiasa na kiuchumi yanayowakumba wakazi wa mlimani huku viongozi walioitisha mkutano huo wakiwataka wakazi wa eneo hilo wajitokeze kwa wingi.