- 3,145 viewsDuration: 3:04Familia moja inalilia haki kwa mtoto wao wa kike wa miaka 16 ambaye anadaiwa kubakwa na jamaa wanayemfahamu. Familia hiyo ilisafiri na rafiki kutoka nairobi hadi mombasa kushirikia michezo ya pool ambapo mshukiwa anadaiwa kurudi katika chumba walichokuwa wamekodi na kumbaka msichana huyo. Dadake anayedai kumfumania anasema licha ya kuripoti kisa hicho katika kituo cha polisi cha bamburi mshtukiwa bado yuko huru.