Mpango wa kurejesha chemichemi ya Kamatargui, Nandi wang’oa nanga

  • | Citizen TV
    1,848 views

    Serikali ya kitaifa ikishirikiana na serikali ya kaunti ya Nandi imeanzisha mchakato wa kurejesha chemichemi ya Kamatargui kisha kuifanya kuwa hifadhi ya wanyama hasa walio kwenye hatari ya kutokomea .