Mpango wa kuwatafuta wanafunzi wasio shuleni waanzishwa Mombasa

  • | Citizen TV
    592 views

    Mpango wa kuwatafuta wanafunzi waliofanya mtihani wa KCPE na wale wanaopaswa kujiunga na shule za sekondari msingi kaunti ya Mombasa umeanzishwa rasmi ili kuhakikisha wameendelea na masomo yao.