Mrisho Ngassa: 'Sijawahi kuisaliti klabu ya Simba, kipindi nipo Simba'

  • | BBC Swahili
    201 views
    Aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania Mrisho Khalfan Ngassa amefanya mazungumzo na mwandishi wa BBC Ahmed Bahajj kuhusiana masuala mbalimbali ikiwemo nyakati zake wakati akicheza na Klabu za Tanzania kama Yanga, Azam na Simba. #bbcswahili #soka #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw