Msafara wa ngamia wa kila mwaka waanza Isiolo

  • | KBC Video
    60 views

    Makala ya-12 ya msafara wa Ngamia yameanza katika kaunti ya Isiolo ambapo zaidi ya washiriki mia mbili watatembea umbali wa kilomita-22 kueneza ujumbe wa amani katika eneo hilo. Msafara huo ulioanza tarehe-6 hadi tisa mwezi huu pia utawezesha washiriki kuelezea kuhusu mafanikio na changamoto wanazopitia katika kuhifadhi mfumo ekolojia wa mto Ewaso Ngi’ro.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News