Skip to main content
Skip to main content

Msanii maarufu wa nyimbo za injili Betty Bayo afariki

  • | KBC Video
    20,601 views
    Duration: 1:04
    Jamii ya wanamuziki wa nyimbo za injili inaomboleza kifo cha msanii maarufu wa nyimbo za injili Betty Bayo, ambaye alifariki leo alasiri alipokuwa akipokea matibabu ya saratani ya damu yaani leukaemia katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kama ilivyothibitishwa na familia yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive