Mseto wa Michezo; Mwenyekiti wa AFC Leopards awania kiti cha baraza kuu la FKF wa Nairobi

  • | NTV Video
    84 views

    Mwenyekiti wa AFC Leopards DAN Shikanda atawania kiti cha mwanachama wa baraza kuu la FKF wa Nairobi katika uchaguzi Mkuu ujao. Wakati huohuo Chuo Kikuu cha Kibabii kimeungana na Shirikisho la Taekwondo ili kukuza mchezo huo nchini. Mengi ni katika mseto wa Spoti ufuatao na Mwanaspoti Yoshua Makori.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya