Mseto wa taarifa za magatuzi

  • | KBC Video
    42 views

    Serikali ya kaunti ya Kisii imedhamiuria kutoa uhamasisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa ushirikishwaji wa umma kupitia mashirika ya kijamii katika maeneo husika. |Wakazi wengi wa kaunti hiyo hukosa kufika kwenye vikao hivyo kutoa maoni yao kuhusu miradi ya serikali ya kaunti na serikali na ile ya kitaifa. Maelezo zaidi ni katika mseto wetu wa habari za kaunti

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive