Msongamano wa shule za Zambia

  • | BBC Swahili
    430 views
    Licha ya kuwa inajitahidi kutoka kwenye deni, Zambia imetoa zaidi ya bilioni moja ili kugharamia elimu bure na kuajiri walimu kwa wingi. Hatua hii imewezesha watoto milioni mbili kurudi shuleni, lakini madarasa yenye msongamano mkubwa sasa yanachangia kudhoofisha ubora wa elimu wanayopata. #bbcswahili #zambia #elimu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw