Murkomen akutana na mabalozi na wahisani kuangazia maslahi ya wakimbizi

  • | KBC Video
    36 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amekariri kuwajibika kwa serikali katika kushughulikia maslahi ya wakimbizi hapa nchini, licha ya kuibuka kwa wasiwasi wa kusitishwa kwa misaada. Akizungumza baada ya mkutano wa faragha na mabalozi pamoja na wafadhili wa kimataifa jijini Nairobi, Murkomen alipongeza serikali ya Marekani kwa kuondoa marufuku ya msaada wa kibinadamu na kutokomeza hofu ya uhaba wa chakula kwenye kambi hizo. Mkutano huo pia uliangazia suala la usalama kufuatia maandamano ya hivi majuzi ya wakimbizi katika kambi ya Kakuma,kutokana na kupungua kwa rasilimali. Ben Chumba na habari kwa utendeti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News