Muuguzi ajeruhiwa na afisa wa kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    160 views

    Chama cha Kitaifa cha Wauguzi (KNUN), tawi la Kaunti ya Trans Nzoia, kimeongoza maandamano ya amani hadi Hospitali ya Rufaa ya Kijana Wamalwa, kudai haki kwa mmoja wa wauguzi wao.