Mvua fupi zimechelewa kwa msimu huu ilivyo kawaida

  • | Citizen TV
    541 views

    Wakulima nchini wana wasiwasi mkubwa kuhusu msimu wa upanzi kufuatia hali ya anga isiyoeleweka. Wakulima wakitatiza baada ya mvua fupi kukosa kunyesha kwa msimu huu.