Mwanahabari wa KBC Frederick Parsayo atuaga

  • | KBC Video
    604 views

    Ni huzuni teke kufuatia kifo cha mfanyakazi wa shirika la KBC Fredrick Parsayo. Parsayo alikutana na mauti katika hali tatanishi nyumbani kwake katika mtaa wa kinoo Ijumaa asubuhi. Kisa hiki kiliripotiwa katika kituo cha polisi cha Kinoo ambapo uchunguzi unaendelea. Hadi kifo chake, Parsayo alikuwa mwanahabari wa shirika la KBC. Siku yake ya mwisho kazini ilikuwa alhamisi. Mkurugenzi mkuu wa Shirika la KBC Agnes Kalekye ametuma rambirambi kwa familia ya Parsayo, marafiki na wafanyakazi wa KBC

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News