- 278 viewsDuration: 2:16Serikali hatimaye imemlipa mwanakandarasi anayejenga kituo cha forodha cha Suam, Kaunti ya Trans Nzoia, ili kupunguza msongamano wa magari kwenye mpaka wa Kenya na Uganda. Kukamilishwa kwa barabara kuu ya Kitale kuelekea Uganda kunalenga kuimarisha uchukuzi baina ya nchi hizi mbili. Collins Shitiabayi Na taarifa hiyo