Mwanamke anaswa na bangi Migori

  • | KBC Video
    24 views

    Polisi katika kaunti ndogo ya Suna Mashariki kaunti ya Migori wamemkamata mwanamke wa umri wa makamo aliyekuwa akisafirisha misokoto 204 ya bangi ya thamani ambayo haijabainishwa kutoka mji wa Kakro kuelekea Uriri katika kaunti ya Migori.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News