Mwanamke anayezamia kupandikiza matumbawe baharini

  • | BBC Swahili
    5,799 views
    Otuwa Omar anasema kuwa 'mimi ndiye mwanamke pekee Zanzibar ninayezamia kupandikiza matumbawe baharini' Kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi ambazo zimechangia uharibifu wa maeneo ya mazalia ya samaki, yaani matumbawe, aliamua kujiunga na mpango wa kurejesha matumbawe katika Kisiwa cha Mnemba huko Zanzibar Mwandishi wa BBC @lasteck2024 alifika katika Kisiwa cha Mnemba na kuandaa taarifa hii @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw