Mwanamke Bomba | Judy Nyawira ashughulikia wagonjwa wa Tawahudi

  • | Citizen TV
    140 views

    Amekuwa akiwashirikisha wazazi wa watoto wenye ugonjwa wa tawahudi kila mwaka, kama njia moja ya kuhamasisha na kuondoa unyanyapaa kwenye jamii. Tunamuangazia Judy Nyawira mwenye umri wa miaka 44 ambaye amekuwa akifanya kazi hii kwa muda. Tulikutana na Nyawira jijini Nakuru kwenye maadhimisho ya ugonjwa wa tawahudi ambao hufanyika mwezi wa nne kila mwaka na hii hapa simulizi yake