Mwanamke Bomba: Mwanaisha Chiku anawahudumia waliopooza ubongo

  • | Citizen TV
    129 views

    Ameanzisha kituo cha watoto eneo la Bamburi

    Anakabiliwa na changamoto nyingi kituo hicho

    Mwanaisha ana ndoto ya kuwafaidi watoto Zaidi