Mwanamuziki maarufu wa Tanzania Bushoke anaeleza safari ya Bongo Flava

  • | VOA Swahili
    469 views
    Mwanamuziki maarufu wa Bongo Flava nchini Tanzania Ruta Max Bushoke ambaye amewahi kutamba na vibao mbali mbali kama vile Barua, mume Bwege, Dunia njia, Nalia kwa furaha na nyingine nyingi anaeleza katika mahojiano maalum na mwandishi wa VOA Sunday Shomari katika studio za Makao Makuu ya Sauti ya Amerika anaeleza tofauti ya Bongo Flava tangu ilivyoanza hadi kufikia hivi leo.... ⁣ ⁣ #maxbushoke #vibao #muziki #nyimbo #sundayshomari #bongoflava #voa #voaswahili #wahenga