Mwanaume ahukumiwa kifungo cha miaka 40 gerezani kwa kosa la mauaji

  • | Citizen TV
    614 views

    Mwanaume wa miaka 40 amehukumiwa kifungo cha miaka 40 gerezani katika mahakama kuu ya Kakamega kwa kosa la mauaji.