12 Nov 2025 7:36 pm | Citizen TV 6,558 views Duration: 1:28 Mwanamume mmoja ameuawa kaunti ya Kirinyaga kutokana na ugomvi wa deni la shilingi hamsini. Inadaiwa kuwa marehemu Jacob Maina alifika nyumbani kwa John Wachira kudai pesa hizo.