14 Nov 2025 1:24 pm | Citizen TV 1,987 views Duration: 1:07 Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini - EACC wamemkamata mwenyekiti wa halmashauri ya kudhibiti bidhaa gushi nchini Josphat Gichunge Kabeabea kwa madai ya kuhusika katika visa kadhaa vya ufisadi