13 Nov 2025 10:22 am | Citizen TV 5,107 views Duration: 2:20 Mwili wa mwanamke moja mwenye umri wa miaka arobaini na moja kutoka Kijiji ya Cheloino eneo bunge la Konoin umepatikana katika mto wa Kipsisin.