Mwili wa mwanamke wapatikana ukiwa umekatwa katwa na kutiwa kwa gunia Likoni

  • | NTV Video
    512 views

    Polisi jijini Mombasa wanachunguza kisa ambacho mwili wa mwanamke ulipatikana ukiwa umekatwa katwa katika vipande na kutiwa kwenye gunia na kutupwa katika eneo la Likoni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

    gun