Mwili wa Wafula Chebuka kupelekwa Chumba cha kuhifadhia maiti cha Lee

  • | Citizen TV
    9,266 views

    Aliyekuwa Mwenyekiti Wa Tume Ya Cuhaguzi Iebc Wafula Chebukati Ameaga Dunia Akipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Nairobi Hospital. Familia Yake Ilithibitisha Kifo Chake Na Kuomba Muda Wa Kuanza Maandalizi Ya Mazishi. Emmanuel Too Anaungana Nasi Moja Kwa Moja Kutoka Chumba Cha Kuhifadhia Maiti Cha Lee..