Mzozo wa Ardhi Meru: Tume ya kitaifa ya ardhi imetoa makataa ya wiki mbili

  • | KBC Video
    22 views

    Tume ya kitaifa ya ardhi imetoa makataa ya wiki mbili kwa serikali ya kaunti ya Meru kutoa ripoti ya kina kuhusiana na sehemu ya ardhi ya umma ya ekari 10 iliyoko katika shamba la maua la ekari 240-huko Timau.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News