Mzozo wa DRC: Hali mjini Goma

  • | BBC Swahili
    11,965 views
    Hali ya sintofahamu inazidi kushuhudiwa huku milio ya risasi ikisikika katika baadhi ya maeneo ya Goma. Kundi la waasi la M23 linakabiliwa na jeshi la FARDC linalosaidiana na makundi ya wapiganaji yanayounga mkono serikali. Mamlaka zimesema kwamba jeshi linadhibiti mji wa Goma, ila kundi la waasi la M23 limepuuzilia mbali hili, likisisitiza kwamba jeshi lipo katika maeneo machache pekee. #Goma #m23 #Rwanda #Ufaransa #Kenya #Uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw