Mzozo wa DRC: Machafuko Kinshasa

  • | BBC Swahili
    6,555 views
    Serikali ya DRC imetoa wito wa utulivu kurejea mjini Kinshasa. Hii ni baada ya waandamaniaji kushambulia balozi kadhaa katika mji mkuu Kinshasa, ikiwemo Ubalozi wa Rwanda, Uganda, Kenya, Ufaransa na Ubelgiji. Waandamanaji hao walighadhabishwa na mashambulizi ya waasi wa M23 mjini Goma, huku uporaji ukiripotiwa katika maeneo kadhaa ya Kinshasa. Mbelechi Msoshi na taarifa kamili. #Kinshasa #DRC #Rwanda #Ufaransa #Kenya #Uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw