Mzozo wa kaunti Nairobi na Kenya Power wapata afueni

  • | Citizen TV
    821 views

    Baada ya siku mbili za vuta nikuvute kati ya serkali ya kaunti ya Nairobi na kampuni ya kusambaza umeme ya Kenya Power, hatimaye pande hizi mbili zimeafikia kutafuta suluhu. Hii ni baada ya mkutano ulioongozwa na mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei na kuwajumuisha maafisa wakuu wa kaunti na Kenya Power