Mzozo wa uongozi Methodist: Sinodi zajiingiza dhidi ya uteuzi wa Deye

  • | NTV Video
    1,544 views

    Mzozo wa uongozi katika kanisa la Methodist unaendelea kupamba moto huku baadhi ya sinodi zikijitenga na madai ya kupinga uteuzi wa kasisi Isaya Deye kama kasisi anayepaswa kushikilia usukani wa kanisa hilo humu nchini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya