NACADA: Nusu ya wanafunzi vyuoni wametumia mihadarati

  • | KBC Video
    148 views

    Wahadhiri wa vyuo vikuu wamemulikwa kwa madai ya kuwa sababu kuu ya ongezeko la visa vya uraibu wa mihadarati miongoni mwa wanafunzi wa vyuo hivyo humu nchini. Takwimu zilizotolewa leo na halmashauri ya kitaifa ya kukabiliana na uraibu wa pombe na dawa za kulevya-NACADA zilifichua kuwa takriban nusu ya wanafunzi wa vyuo vikuu humu nchini wametumia anagalau aina moja ya mihadarati maishani mwao, huku pombe, sigara na shisha zikitajwa kuwa zinazoweza kupatikana kwa urahisi zaidi. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu na kina cha taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive